me pia nimepita livescore nikaona hii kitu... na nia nilitaka kuona goli kafunga nani? duuuuuuh,samagoal kama kawaida. dogo atatisha kama akipewa nafasi.
Duhhh wabongo bana yani chuki hatuachi hadi kwa mashujaa wetu, tukikutana kwenye ubishani wa mess na ronaldo ndio tujitenge ila kwa samatta hebu tuweni wazalendo khaaa