Blackman JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 848 Reaction score 318 Jun 14, 2012 #1 Mwanawane, Mmasai kapewa kipaza sauti kwenye msiba wa marehemu rafiki yake akaambiwa aseme machache. Akaanza kwa kusema: Msiba oyeeeee. Jenesa safiiiiii. Amependesa ajapendesaaa? Mwenye wifu akufe kama ii laiyoni!!
Mwanawane, Mmasai kapewa kipaza sauti kwenye msiba wa marehemu rafiki yake akaambiwa aseme machache. Akaanza kwa kusema: Msiba oyeeeee. Jenesa safiiiiii. Amependesa ajapendesaaa? Mwenye wifu akufe kama ii laiyoni!!
Blackman JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 848 Reaction score 318 Jun 14, 2012 Thread starter #3 Man KKK said: we mtambo sana Click to expand... Nani mtambo tena
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 Jun 14, 2012 #4 kuchekesha si kazi nyepesi ndg!!!
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 15, 2012 #5 Whiteman said: Nani mtambo tena Click to expand... mtambo alietunga hii stori na kuwafanya watu wacheke peke yao wakiwa maoficn kama matahira
Whiteman said: Nani mtambo tena Click to expand... mtambo alietunga hii stori na kuwafanya watu wacheke peke yao wakiwa maoficn kama matahira