ah ah ah nimekumbuka stori niliyopewa nikiwa mdogo, kuwa kuna mmasai alinunua underwear 4, akavaa moja zikabaki 3 pembeni, alipotembea umbali mrefu akapita porini kuchimba dawa, wakati akichimba dawa akaisahau nguo yake hiyo kwenye mti alipokuwa ameitundika ili achimbe dawa, akaenda kupanda gari akiwa amesahau kuwa hajavaa ile nguo yake akawa anakaa kwa mapozi ya kujiachia sana! ili kuringishia nguo yake mpya ionekane, (pasipo kujua hana) sasa watu wakawa wanamshangaa! mmasai akawaambia "eroo, inashangaa nini? hii? mimi anayo ingine 3 kama hii!!(huku akionyesha)