Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Kwani haya madhehebu yaliyoanza zamani nayo si yalianzishwa na watu tu kama wa waleo !jifunze historia wewe! AU UNATAKA WAANGLIKANA wakasirike tukikumbushana hapa! Mpe ushauri mzuri! Inawezekan huyo dada ni mlokelo kweli!si wakristo wametumwa kuhubiri injili kwa mataifa yote!
Futa kwanza huo usemi wako kwenye red. Katoliki sio dhehebu bali makanisa mengine yote ya Kikristu ndio madhehebu kwa sababu yalijimega kutoka Katoliki, Kwa hiyo Kanisa katoliki sio dhehebu. Umenipata hapo?Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Mkuu usitoke kundini, atakuwa amekuzimikia tu, mchape huyo nanihiii zimemzidia tu, ana hamu ya ku-do, baada ya kuchapa mlete kwenye church letu la ukweli(red color).
Futa kwanza huo usemi wako kwenye red. Katoliki sio dhehebu bali makanisa mengine yote ya Kikristu ndio madhehebu kwa sababu yalijimega kutoka Katoliki, Kwa hiyo Kanisa katoliki sio dhehebu. Umenipata hapo?
Haya turudi kwenye mada yako.
Kwanini huyo mlokole anakufanyia hivyo? Yawezekana mwenendo wako sio mzuri ndio maana anajaribu kukuokoa,
Au la pengine amekuzimikia na ndio maana anajaribu kwa kila njia uingie laini,
Halafu sio lazima uhame dini yako umfuate yeye, au ukiona vipi aja asali katoliki kwa wale Kalismatiki(walokole wakatoliki)
Wanikumbusha rafiki yangu, kitambo kidogo. 'Jamaa hakuwa mkristo, lakini kajitupa sana kwa Mtawa (Sister), rafiki yangu kajifanya ameokoka...ikifika jumapili, Biblia ya kizungu kwapa la Right, Biblia ya Kiswahili kwapa la Left. Alipomkamata huyo Mtawa, kajaza Boli, alafu akamuoa...akarudi kwenye dini yake..Laaahhha. Akawa akijipiga kifua mbele yetu.....Shemegi yenu huyu, nilimnyanganya YESU!!!!!!, Nikakubali, kweli IBILISI ni MTU!!!!
majaribu hapa yako wapi?Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Aisee kashasema, biblia, nyimbo za Mungu ni majaribu kwake,
Unadhani hata hio karismatiki ina msaada kwake kweli.
Lakini tunaokolewa kwa Neema, wakati ukifika ataelewa tu.
Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.i
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Kaka inaelekea ngono imekukaa sana taswirani oga maji baridi sana uchanjamshe akili
wewe upo gizani naamini nia yake ni kutaka kukuweka palipo na njia ya wokovu.... Mpe nafasi mbele ya MUNGU kila kitu kinawezekana...MUngu anakupenda
LD umenisingizia, wala sijasema kuwa Biblia na nyimbo ni majaribu. Mimi nina Biblia kazini, kwenye gari na nyumbani. Ninachokiona ni majaribu ni yeye kunifuata kwa mwonekano wa kunitaka kimapenzi hali akijua mimi nina mke.
Mkuu,
Itikia wito huo...
wakati wa shida utapata mtu wa kukuimbia na kukuliwaza...kwa kutumia neno la bwana.
Bora nyote wakristo hakuna tabu, jumapili moja kanisa katoliki, jumapili nyengine unaenda kanisa la dada..
Usiogope mkuu, Mungu yuko pia huko kanisani kwa dada...
Biblia na msg za neno la mungu ni zawadi nzuri, mkuu, Ushukuru sana kwa bahati uliyoipata, usone kuwa ni "usumbufu".