"MLOKOLE" ananitia majaribuni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"MLOKOLE" ananitia majaribuni!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Dec 15, 2010.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wana JF

  Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

  Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

  Waungwana nishaurini, nifanyeje?
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Si wote wenye mbio washindao katika mashindano, na si wote wenye nguvu wapatao chakula chao; bali bahati huwapata wote"
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  uSHINDWE KATIKA JINA LA YESU...
  Anakutiaje majaribuni.?
  Yaani ukipewa Biblia ndo ******* majaribuni au?
  Au hizo meseji za neno?...acha bana!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Msikilize, huenda kakupenda na ili kukunasa rahisi anaona ukiingia ktk dhehebu lake itakuwa rahisi.
   
 5. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Okoka tu, kwani hatari kitu gani?
   
 6. c

  chelenje JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu usitoke kundini, atakuwa amekuzimikia tu, mchape huyo nanihiii zimemzidia tu, ana hamu ya ku-do, baada ya kuchapa mlete kwenye church letu la ukweli(red color).
   
 7. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kama ni anakutaka, swala ni usibweteke na ulokole. Mchukulie kwa uzito sawa na dem ambae ungekutana nae klab ila kwa nia nzuri tu ya kufind out ni wanamna gani!

  If you find her positive,and your moyo umemwelewa.................
  Me nikipata kama huyo ndani for life.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Fuata nyuki ule Asali!!:embarrassed:
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Bwana anakupenda kakutumia malaika aje akuokoe.
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Chunga sana maamuzi utakayofikia siku hizi mitego kila mahali. Kondomu moja kwa kila tendo ndiyo itakuokoa. Acha ngono zembe.okoka umrejee yesu.
  Kazi kwako.
   
 11. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jaribu kumvumilia na ujaribu kufanya anavyotaka umsikilizie, pengine anakupenda tu na kwakua kaokoka anatamani ubadilike. Nawe jaribu kukaa nae umuulize ujue zamani alikuaje na nini kimemfanya aokoke, na ukiona maelezo yana ridhisha mchimbe angependa kuolewa na mwanaume gani labda, hapo unaweza jua anataka nini kwako. Nakama anapenda awe wako, muangalie kama umempenda na anafaa ni vizuri kuwa na mke mwenye hofu ya mungu hata kusumbua sana.
   
 12. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mega tu unachelewa nini
   
 13. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Labda kaonyeshwa unahitaji msaada wa kiroho! au njia zako mbaya, sasa anatafuta njia ya kukutoa ulipo.
   
 14. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  acha kamba hizo , kama huna cha kutuletea hapa, fanya homework na wadogo zako. Ama sivyo okoka na biblia umesha pewa.
   
 15. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama vipi mpotezee babu
  waonesha humpendi/usije mtia majaribu/
  yaani ukisha mmega ujiondoe taratibu/
  ukimuhurumia utajiongezea thawabu...
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mjomba,si ni wewe ulikuja hapa kutafuta mwanamke wa kukuchuna na mbwembwe kibao kuwa mmetumia na mkeo lakini hazijaisha.Sasa huyo mlokole hamuogopi mkeo mpaka akutie majaribuni?Au mzee unataka kuongezea mke wa pili ambaye ni mlokole?Haya bana, kumbuka tu ukijaribu kuongeza mke wa pili na kanisani(katoliki) utakuwa umejiondoa na hata huko kwa walokole sijui kama kutaingilika.Kila la heri mkuu katika majaribu hayo ushinde au ushindwe yote heri.
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yaani kuingia kwako kwenye dhehebu la kilokole, ndio sababu ya yeye kupanda cheo na kupata faraja....!? Je umemuuliza vizuri kuhusiana na ilo?
   
 18. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Ndugu yangu, kubadili imani kwa ushawishi wa mtu mwingine ndio mwanzo wa kuyumba kwa mipango na mambo yako mengi ktk maisha yako, na hasa kuingia ktk madhehebu yaliyoibuka kipindi hiki. Mengi ya madhehebu haya hayana tofauti na makampuni ya biashara au magenge ya utapeli. Kama una mali unaweza kujikuta unafilisika. Watakwambia achana na mambo ya dunia (kama wale Wasabato Masalia), toa mali zako kwa mungu, yesu anakaribia kurudi. Chunga sana kijana
   
 19. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani haya madhehebu yaliyoanza zamani nayo si yalianzishwa na watu tu kama wa waleo !jifunze historia wewe! AU UNATAKA WAANGLIKANA wakasirike tukikumbushana hapa! Mpe ushauri mzuri! Inawezekan huyo dada ni mlokelo kweli!si wakristo wametumwa kuhubiri injili kwa mataifa yote!
   
 20. F

  Ferds JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sometimes utatoka manundu
   
Loading...