Mlokole aangukia majaribuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlokole aangukia majaribuni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Msakapanofu, Apr 4, 2012.

 1. Msakapanofu

  Msakapanofu Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Kuna cha'P' mmoja aliokoka na kushuhudia kwamba kati ya dhambi zote kubwa alizofanya kulewa kupita kiasi ni moja wapo.Kumbe siku alizokuwa akizuga kuokoka alikuwa 'apeche aroro'. Siku ya siku akapata bingo kutoka kwa mjori wake wa siku nyingi (akarudishiwa millioni moja aliyokuwa anadai). Mlokole mpya huyo akajisahau na kuamua kupitia viwanja vyake vya zamani kupata moja moja moja ya ng'ara (a.k.a ya mbeho)! Alilewa kupita kiasi! walokole wenzake waliitwa na kumchukua mwenzao akiwa tilalila mpaka kwa 'Pastor Laki'. Baada ya kuwekewa mikono na kumwagiwa maji, ulabu ukapungua kidogo. akaulizwa na 'Pastor Laki' mpendwa vp leo umemruhusu shetani akutawale!??, Yule mlokole akajibu, "Siku zooote Bwana "ametamaLAKI" leo tu Shetani "KutamaMILIONI" inakuwa nongwaaaaa, aaagh akatapika. kesho yake akajikuta amebakiwa na laki moja tu, akaenda kwa Pastor na kumwambia daah! "sasa bwana ametamaLAKI tena!! Bwana asifiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...................PASAKA NJEMA.........
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hata haichekeshi.....
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  haluuu pesa is something else jamani
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Sipendi joke za harufu za udiniudini halafu et bwana asifiwe?
  INAUMA SANA
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  you shall not take the Lord's name in vain, because the lord will not count guiltiness he who takes his name in vain!!!!
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  "USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO,MAANA MUNGU HATAACHA KUMHESABIA HATIA ATAJAYE JINA HLO KWA UPUMBAVU",Kwa tafsiri kama mtoa mada ni product ya shule Lowasa
   
 7. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  asante mkuu kwa kunisaidia translation
   
 8. T

  Tekenya Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  asalaaaaaaaaaaaaam aleykhum!!!!!!!!!!
   
 9. samito

  samito JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Peleka ujinga huko. hujui kuchekesha, unaitaj shot koz
   
 10. w

  wa home JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  usilichezee jina la bwana mungu wako usije ukaukumiwa.
   
 11. s

  shomshallo Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usilitaje bule jina bwana MUNGU wako.........!!!! shwainiii
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Madhara ya kitimoto ni mengi.
   
 13. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Vague!
   
 14. Magongo

  Magongo Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ki-ukweli umeboa.
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hata wewe
   
 16. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  kwani umelazimishwa kusoma?ukiziacha bila kusoma hazita kuumiza.pole sana.
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  sasa angetambua vipi kilichoandikwa pasipo kusoma
   
Loading...