Mkuu maji ni kati ya vikamilishi vya mlo kamili, kwa maana ya chumvi,protini,wanga, vitamini, vipo sita kama nitakua sijasahau kaka mshanaMaji sio mlo
View attachment 400875View attachment 400876View attachment 400877[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ataka supuya Pweza huyo... haya mpeni afurahie!...hakutoshi ama unataka pweza..?
Hiki cha kati kitumbua chako nini?!....vitumbua...mhhhh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huu ni mnofu wa chatu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yaah Mwanza raha[emoji4] [emoji4]Naona mambo ya Mwanza haya bi @ aysher[emoji39][emoji39][emoji39]