Mlo kamili

Huyo samaki uwiiiiiiii [emoji134][emoji134][emoji134]
 
jaribu uwe unakula ugali asubuhi,mchana na jioni utakuwa na manguvu...🙁🙁🙁 ha ha ha
Duu haya niliyo tu sasa ni shida si unaongelea yale ya ulozi? [emoji23]
 
Sipendi pweza kuzidi Sato.
yani ukiniekea ugali wa moto alafu imechanganywa na udaga alafu sato kama huyu chukuchuku na limao alafu kuna hari ya ubaridi aiseeee nakula mpaka nazimia!!
 
Sema umecomplicate maana kwa vitu hivyo na minyama uzembe ni dam dam,breakfast ni vizuri kutumia kiasi kidogo sana cha chakula.Unaweza kutumia maziwa nusu lita kwakukoroga na asali,mboga ya majani iliyochemshwa kidogo na karanga za kukaanga kidogo then kunywa maji mengi kama lita tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…