Mlipuko wa bomu waua zaidi ya 30 Kabul | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlipuko wa bomu waua zaidi ya 30 Kabul

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Dec 6, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Blast hits as hundreds gather to celebrate Ashura, killing at least 20,
  06 Dec 2011 08:05
  r.jpg Afghan police keep watch after a suicide attack at a Shi'ite Muslim gathering in Kabul December 6, 2011. REUTERS/Omar Sobhani

  A suicide bomber has attacked a Shia Muslim shrine in central Kabul where hundreds of people had gathered to celebrate the festival of Ashura, causing many casualties, according to Afghan officials. Mohammad Zahir, a senior police official in the Afghan capital, said the blast on Tuesday morning had killed up to 20, but there were no firm details yet.

  Ashura marks the martyrdom of the Prophet Mohammad's grandson Hussein in the battle of Karbala in Iraq in the year 680. The blast occurred in the city centre as Shias gathered to carry out religious rituals to mark the day, a public holiday in Afghanistan. Four people were killed in a separate bombing on Tuesday, in the Afghan city of Mazar-i-Sharif.

  A district police official said the dead included at least one district police official. The bomb, which was carried on a bicycle, exploded near a mosque.
  Source: Agencies

  Idadi hii bado inapanda
  !
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Always tumesema kuna aina fulani ya Uislam ambao sio wa kidhehebu, kitaifa wala kijiografia una asili ya kupenda uuaji (killing). Ni kama Nyerere alivyosema ukila nyama ya mtu huwezi acha. Kwa kawaida Muislamu humbagua na kumhujumu mtu asiye wa dini yake, lakini wakibaki waislamu wenyewe wataanza kuhujumiana kwa madhehebu yao, wakibaki wenyewe wataanza kuhujumiana kwa kabila zao, wakimaliza kabila wataanza kuhujumiana kwa koo (clan) zao. Kwa hiyo hata huko Somalia, AFghanistan, Pakistan na Iraq hata majeshi yote ya kigeni yaondoke haitakuwa suluhu. Wataendeleana kuhujumiana tu hadi siku ya kiama maana hiyo bellicose attitude iko kwenye damu zao.
   
 3. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Wakatoliki na waprotestanti nao wako hivyo hivyo. Angalia yaliyotokea Ireland ya kaskazini. Tafakari!
   
 4. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  George Bush Jr. ambae ni mlokole ameuwa Waislaam wa ngapi kwa kuwatungia uongo!?
   
Loading...