Mkijibiwa hapo mtaanza kulia lia dunia nzima jinai ya waisrael kuua watoto na wanawakeMapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha.
La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni...
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.Mkijibiwa hapo mtaanza kulia lia dunia nzima jinai ya waisrael kuua watoto na wanawake
Wewe una shauri nini kifanyike kuwasaidia hao watu wanaoishi kwa mateso?Netanyau Jana ametembelea Rafah huko,
Hamas wanaishi kwa mateso mno imagine unaendelea kupoteza ndugu zako, majirani zako unawaona wakishi kwa mateso, hupati mahitaji Yako muhimu, unaishi shimoni kama panya, kutwa unawindwa ufe utakuwa kwenye Hali Gani?
Watu wa vitendo Gani tena huku wanateketea?? Au vitendo vya kuzikwa na dhambi zao!?Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.
Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 7 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
sasa kijana, kijiji kidogo kama Ghaza kinyukwe na USA, Uingereza na NATO yote na wengine kutoka India na kwengine, halafu mpaka leo bado wanahimili vishindo na kurudisha mapigo, ni wa kuwadharau hao?Watu wa vitendo Gani tena huku wanateketea?? Au vitendo vya kuzikwa na dhambi zao!?
Nyie mashabiki Maandazi wapuuzi sana!! Wewe mwenyewe unaandika ukiwa umejificha msikitini hapo Mbagala Rangitatu!!
Madam shuka kwanza kwenye boda boda.unaandika vibaya vibaya mno.sasa kijana, kijiji kidogo kama Ghaza kinyukwqe na USA, Uingereza na NATO ypote na ******* zao wengone kutoka India na kwengine, halafu mpaka leo bado wanahimili vishindo na kurudisha mapigo, ni wa kuwadharau hao?
Utakuwa ni poyoyo wa mwisho kutokuelewa kama Wapalestina na Wayemni ni mashujaa wa kuimbwa.
Wapalestina wanadai haki gani? Embu niambie kuna taifa lililowahi kuitwa palestina na mwanzilishi wa hilo taifa aliitwa nani ? Na lilianzishwa mwaka gani?Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.
Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 7 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
Mandela hafanani na magaidi wa hamas wewe Mandela hakudai uhuru kwa kubaka watu, kuchoma moto watoto wadogo , kuteka watu , na hakujificha shuleni, hospitalini kuhatarisha maisha ya watu wakeAngelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.
Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 7 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.