Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,928
Reaction score
6,029
Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa katika mlipuko huo, na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Mlipuko huo unakuja siku tatu baada ya mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas kusini mwa Iran.

"Mytake" Mvua za rasha-rasha zinaitesa Iran)
 
Hii milipuko imetokea China..
Naona gaidi mkuu Iran ameanza kulialia
 
Nilitegemea tutapumzika japo kidogo habari za vita lakini halii inazidi kuwa mbaya Mwenyezi Mungu awaokoe waja wake wanaoteseka sababu ya ugomvi wa wanasiasa
 
Au ni majibu ya manowari ile kukimbizwa na houthi Hadi ikaangusha ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…