Mlipuko mkubwa watokea Irani

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,144
Reaction score
48,369

Mlipuko mkubwa watokea huko Iran kwenye eneo la Bandari Abbas.

Vyombo vya habari vya Iran vinakadiria zaidi ya watu 406 wamejeruhiwa na mlipuko huo.

Inahisiwa mlipuko huo uliotokea kwenye bandari hiyo maarufu ya Iran inawezekana umetokana ama na madawa yenye kulipuka au na vimiminika lipushi!
 
Watakuwa waasi wa kabila dogo la Kiarab wamelipua maana wanapatikana eneo hilo ulipotokea mlipuko.

Hilo eneo kuna vuguvugu la Waarab wa Sunni ambao hawataki utawala wa Mullahs wa Tehran ambao ni Washia
 
Hawa watu wakanisani noma sana aisay eti Iran ni warabu 😆 😂
Kanisa na mtu kujua kama wairani ni waarabu ama lah wapi na wapi? Jee huko Irani kwani hakuna makanisa?


Kanisa la kiothodox la Mtakatifu Tadei huko Iran.
 
We ndio unatakiwa ukasomeshwe kijana, Bandar Abbas haipo kabisa Khuzestan province ipo Hormozgan province na huko hakuna hata Mwarabu. Warabu wapo kule Khuzestan province
Nani kasema ipo Khuzestan?
Nimesema Bandar Abas ipo sehemu ambako kuna jamii ndogo ya waarab na pia nimemuonesha tu kuwa Iran kuna waarab pia. Mbona much know for nothing?

Waarab walioko Iran siku zote wanaoinga utawala wa Mullahs wa Tehran na wanaendesha harakati za kujitenga ikiwemo kuhujumu utawala wa kiimla wa Shia wa huko Tehran
 
Noma sanaaa yani wingu la mlipuko limekaa kama genital warts itakua linalipua mambupu tu hilo
 
Kitu nilicho cheka Israel kawahi kujitetea sio yeye sababu anaujua moto wa Iran. Hawa Israel si juzi tu walijidai wataishambulia Iran si wangesema ni wao walio ripua ili tuone missiles zinateremka kama mvua kule Tela Aviv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…