Mkuu hapa hatudili ukamilifu na udhaifu wa mtoa mada.Elewa kuwa mtoa mada ni mtu tu kama wewe kwa hiyo unachotakiwa kukifanya ni kusaidia unakoona kuna mapungufu badala ya kumlaumu mwenzako.Mtoa mada ameonesha udhaifu mkubwa sana ktk kudadabua hoja yake. 1. Anasema mlipuko Arusha ni nadharia pasua kichwa. Ninavyofahamu mimi kitu kinakuwa pasua kichwa kama kinakosa majibu au majibu yanatatanisha. Kwa maelezo yake utata uko wapi? wakati anaonesha dhahiri kuwa ccm wanahusika (kwa ushahidi wa mazingira). 2. Mtoa mada anaonekana ushabiki wa kisiasa unamtawala kuliko ukweli (reality). Mfano, kachambua vizuri mazingira yanayoweza kudhaniwa ccm na cdm wanahusika, lakini cha ajabu ametoa udhafu wa kuihusisha cdm TU na mlipuko kana kwamba hoja za kuihusisha ccm hazina udhaifu. Hapa ndipo umakini na ueledi wa mtoa hoja unapokuwa mashakani.
Yaani wewe unauliza na kujijibu mwenyewe! Kwa nini unataka ku-manage mawazo ya watu? Hiyo nadharia ya CCM umeipamba wakati ya CHADEMA yenye ushahidi mwingi umeifinya na kukanusha hapo hapo!
Ndio maana nchi hii ni masikini kwa sababu wajinga wanadhani wana akili!
Yaani wewe unauliza na kujijibu mwenyewe! Kwa nini unataka ku-manage mawazo ya watu? Hiyo nadharia ya CCM umeipamba wakati ya CHADEMA yenye ushahidi mwingi umeifinya na kukanusha hapo hapo!
Ndio maana nchi hii ni masikini kwa sababu wajinga wanadhani wana akili!
Kama umenunua kwa taratibu za kawaida taarifa zitakuwepo tu!how i wish through serial numbers za vitu kama silaa za hatari kama hizi zingekuwa zinaambatana na taarifa za mnunuzi ambazo zingeambatanishwa kwenye records za serial number yenyewe.. sijui wataalam labda mtuambie more abt this as its not a local made
Kama umenunua kwa taratibu za kawaida taarifa zitakuwepo tu!
sidhani kama mchina anaweka kwenye intanet record ya silaha anazouza.na taarifa kupatikana kwenye search engine yeyote mfano google ,yahoo etc ni mpaka habari ziwekwe kwenye mtandao.
Sisi kama wananchi wazalendo; Ni lazma tuchangie kwa uwezo wetu wote kuhakikisha watu wanaohatarisha usalama wa nchi yetu kipenzi wanakamatwa na kudhibitiwa.Kufuatia suala la Arusha; tunatakiwa tuunganishe nguvu zetu, uwezo wetu kifikra,wasaa wa kimazingira, ueledi na kila kiwezekanacho kuhakikisha wahusika wanapatikana.Tujitahidi kuepuka na ushabiki wa kisiasa katika hili ili tuweze kupata nadharia za kitaalam ambazo zinaweza kutupa pa kuanzia.Katika hili inabidi tuwe wakweli 100% hata pale mmoja wetu atakapoguswa.
Serikali imeahidi mill 100 kwa atakaesaidia kubainika kwa mtandao wa uhalifu uliohusika ila usalama wa nchi yetu ni zaidi hata ya million 100.Tushirikianeni mawazo ili tupate pa kuanzia na hatimae tuinusuru nchi.
Kwa kuanzia nizitete kwenu nadhadhia zinazoweza kutupa muongozo wa pakuanzia na vielelezo vilivyopo.
(1)Ni nadharia kwamba wahusika watakuwa ni mtandao ndani ya CCM
(2)Ni nadharika kwamba wahusika watakuwa ni CHADEMA wenyewe.
(3)Ni nadharika kwamba zitakuwa ni hujuma za makundi ya kisiasa toka nje ya nchi
(4) ni nadharia kwamba yatakuwa ni makundi yenye ufungamano na Al-qaeda/Al-shabaab.
Nitoe vielelezo vilivyopo kwa kila nadharia kisha alie na ziada atuongezee ili tupate muelekeo.
1.NADHARIA KWAMBA NI CCM.
Hoja ni kwamba CCM watakuwa wamezidiwa nguvu sasa wameamua watumie mbinu za kimafia na za kutisha.
Muunganikano wa matukio kwa hoja hii;
(a)MweziMarch 2013; Kinana alikutana na Kiongozi wa CHAMA CHA KIKOMUNISTI cha NchiniChina.(walifanya mazungumzo).
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwakatika mazungumzo na Mjumbe wa Tume ya Uongozi wa Taifa wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Liu Yunshan, kwenye Ofisi za chama hicho mjini Beijing China
(b) Kofia inayoonekana hapo chini; ni kofia inayovaliwa na makamanda wa chama cha Kikomunisti cha China.
.
(c)Mwigulu akiwa na kofia hii
(d)Mwigulu nchemba akisema watakaoipinga CCM watakufa
(e) hapo awali Mwigulu alishawahi kusema;
Pia alishawahi kusema;
Kuna taarifa kwamba kwa uchunguzi wa awali uliofanyka kwenye mabaki ya mabomu; na risasi, zinaonekana ni za kichina tena za model za kisasa.
Tunapounganisha hayo matukio tunapata wazo juu ya nadharia ya kwanza.
Naendelea kuleta nadharia zingine;
= = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = =
hili liko wazi na ndo maana Mwigulu ameshindwa hata kutuma salamu za pole kwa CHADEMA akiwa ndiye katibu wa Bara na Nape ametoa matusi badala ya kuwapa Wenzake pole. Hapa hata mimi mwenye Elimu ya Gumbaru nimeiona wazi kabisa kuhusika kwa CCM.Mtoa mada ameonesha udhaifu mkubwa sana ktk kudadabua hoja yake. 1. Anasema mlipuko Arusha ni nadharia pasua kichwa. Ninavyofahamu mimi kitu kinakuwa pasua kichwa kama kinakosa majibu au majibu yanatatanisha. Kwa maelezo yake utata uko wapi? wakati anaonesha dhahiri kuwa ccm wanahusika (kwa ushahidi wa mazingira). 2. Mtoa mada anaonekana ushabiki wa kisiasa unamtawala kuliko ukweli (reality). Mfano, kachambua vizuri mazingira yanayoweza kudhaniwa ccm na cdm wanahusika, lakini cha ajabu ametoa udhafu wa kuihusisha cdm TU na mlipuko kana kwamba hoja za kuihusisha ccm hazina udhaifu. Hapa ndipo umakini na ueledi wa mtoa hoja unapokuwa mashakani.
Kununua bomu moja la kurusha?, halafu upewe zawadi ya kofia? Kaka mbona unalazimisha fikra sahihi za mwenyekiti, ingawa hazimake sense?kwa mtazamo usiokwepeka huachi kumfikiria mwigulu na kofia yake kama ndiye mnunuzi wa hizo bidhaa.. nikiitazama hiyo kofia naona kama ni bonus baada ya kununua bidhaa mfano wa mnunuzi wa sim anapopewa na pochi ama cover kama bonus.. zaidi mtu waweza pata wazo kuwa ni mwaka huu huu ambao mwigulu ametoka china tena very recently kiasi ambacho wasambazaji na wauzaji wa bidhaa hizo hapa kwetu wasingeweza kuzipata na kuziingiza nchini this soon. Zingetoka uingereza ama ujerumani haraka ningeanza kufikiria na uwezekano wa nadharia ya kuihusisha CHADEMA otherwise not tht simple
Fikra zangu zinaanzia kwenye hoja hii!!!Ndiyo maana Philip Malmo aliondolewa haraka nchini China mwanzo wa mwezi huu wa June 2013 kama balozi na nafasi yake ikachukuliwa na Liutenant General Abdulrahman Shimbo, mtaalaamu wa vita anayejua vifaa bora vya kijeshi na mwezi huu wa June Mwigulu naye akaenda China kwa mambo yasiyofahamika, ila kwenye bandiko lake anaelezea ziara yake nchini China ilikuwa na mafanikio ambayo hakuyaeleza.
unamtaka?Hivi kwa nini baada ya tukio la Arusha Mwigulu Nchemba haji tena JF?