Mlipigiwa Hii

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
Mliokuwa ndani ya White Party Kebby's Hotel poleni kwa uchovu na hongereni pia.Sina shaka kila mtu alii-njoy.Niliambiwa kutakuwa na Live Band...Naomba kila mtu animbie Mziki uliotumbuizwa na ukamburudisha.Je mlipigiwa 100 kilo ya Ferre Gola?.Kwa wale rafiki zangu wanaopenda miondoko hii ya Rhumba wanafahamu ni burudani kiasi gani mtu hujisikia unapokuwa umejumuika na marafiki mkishusha moja moto moja baridi huku kwenye moja na mbili zinashushwa Rhumba za hatari toka kwa kina Ferre Gola,Fally Ipupa nk.
​
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…