X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,778
- 14,987
Asante kwa ushauri....nilianza kuchanganyikiwaHiyo kawaida bro nilifanyiwa operation ya mkononi inatokea Mara chache wkt wa baridi kuuma cha kufanya huwa napaka Vaseline kwny kovu hlf najifunika kitu kizito inasaidia kdg sio kama una tatizo
Asante sana kwa ushauri....Ni kawaida, hali hio hujitokeza kipindi cha baridi, au pale mwili unapo hisi baridi kali, cha msingi hali hio ikijitokeza vaa nguo nzito au/na kunywa kinywaji cha moto kama chai hivi n. K
Kawaida hiyo mkuu.... Pole sana... Huwa kuna contraction ya muscles wakati wa baridi inayosababisha compression ya mishipa ya fahamu iliyoharibika na kusababisha maumivu kwenye kovu.Habarini, ndugu zangu.
Mnamo mwaka 2014 nilifanyiwa opperation ya Appendix, kidonda kilipona haraka haraka pasipo kupata maumivu yoyote,
Tokea mwaka huo 2014 hadi sasa ni miaka 3 sasa,
Ila chaajabu tokea mvua izi zianze kunyesha juzi napatwa na maumivu pale kwenye kovu la kidonda cha appendex...mara ya kwanza maumivu yalidumu kwa muda wa masaa 2 kisha yakapotea usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa maumivu hapo kwenye kovu la kidonda cha apendex yamenianza tokea saa 6 usiku hadi kuna kucha, sijapata usingizi, naombeni ushauri wenu kwani miaka ya nyuma baada ya operation nilikuwa sipati maumivu ata nikiloana kwenye mvua...hii hali imenitisha sana
Asante sana kwa kunitoa hofuKawaida hiyo mkuu.... Pole sana... Huwa kuna contraction ya muscles wakati wa baridi inayosababisha compression ya mishipa ya fahamu iliyoharibika na kusababisha maumivu kwenye kovu.
Asante sana je hakuna zuio la chakula chochote kwa waliofanyiwa operation?Baridi tu hilo kama wasemavyo wengine. Pole!
kama ni appendexectomy hakuna zuio baada ya masaa 24 toka ufanyiwe upasuaji japo kienyeji hupendekeza usile maharage japo ndani ya mwezi 1 kuepuka kupumua(kujmba) hovyo tena kwa sautiAsante sana je hakuna zuio la chakula chochote kwa waliofanyiwa operation?
Asanteukipata maumivu ya kovu la upasuaji kipindi cha baridi au mvua ni kawaida.lakini ikiwa kipindi tofauti na hivyo ni dalili ya uambukizo mfano UTI nakadhalika
Asante sanakama ni appendexectomy hakuna zuio baada ya masaa 24 toka ufanyiwe upasuaji japo kienyeji hupendekeza usile maharage japo ndani ya mwezi 1 kuepuka kupumua(kujmba) hovyo tena kwa sauti
Mimi ni mwenzio, nimefanyiwa mwaka 2000 Bugando ni kawaida. Ila epuka mkanda wa suruali inayopabana na hata suruali yenyewe isibane sana sehemu hiyo!!Asante kwa ushauri....nilianza kuchanganyikiwa
Yangu yalikuwa makali...sikulala...ila namshukuru Mungu mvua zimekata na maumivu yamekataMimi ni mwenzio, nimefanyiwa mwaka 2000 Bugando ni kawaida. Ila epuka mkanda wa suruali inayopabana na hata suruali yenyewe isibane sana sehemu hiyo!!
Ni kawaida wakati wa mawingu kusikia maumivu japo hua si makali kama unavyohadithia!!
Humu watu huwa wanajitoa ufahamu tu..Nimependa polite language iliyotumiwa na wachangiaji wa thread na hali ya upole ya mletaji mada.