Yaani ni kwamba huyu jamaa hajui kitu chochote kile
Yeye anaona tu mtu kasimama basiiiiiii [emoji23]
Sasa huko kwenye cheat umeenda mbali sana
Kimsingi ni kazi sana kumuelekeza kwa maandishi labda uwe naye
Kwanza ajue mission ni nini? (Jamaa katoka jela anatakiwa kwenda mtaani kwake)
Pili ajue jinsi ya kumchezesha main character, kutembea kukimbia kupanda kitu nk nk
Tatu ajue kutumia ramani na kuifuata
Hii mara nyingi ukiwa mtundu unaijua fasta
Shida ni kisambaa [emoji23][emoji23]