Mliotemwa hamia UKAWA

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Wapendwa wakuu wa wilaya mliotemwa hamia UKAWA tujenge upinzani, 2020 UKAWA ikichukua nchi mnarudi!
 
Wapendwa wakuu wa wilaya mliotemwa hamia UKAWA tujenge upinzani, 2020 UKAWA ikichukua nchi mnarudi!

Hata kufirisika sera sio kwa dizaini hiyo kaaaa!!!
Kweli ukawa unaomba mashabiki upande wa adui yako wazi wazi?
 
Acha ndoto za alinacha wabakie tu CCM wajenge chama hamna haja ya kuhamahama.

Wenye uroho na kihoro cha madaraka ndo wenye kiherehere cha kuhama hama lakini mwili chama fulani ila moyo chama kingine... Ni hatari sana kwa afya ya vyama vya upinzani...
 
hee!! Ina maana kunyimwa ukuu wa wilaya wameonewa!! je kama wamenyimwa kutokana na uzembe au upigaji madili nyi bado mnawaita 2 ili mkuze upinzani?
au nimewAelew vibaya?
 
Wapendwa wakuu wa wilaya mliotemwa hamia UKAWA tujenge upinzani, 2020 UKAWA ikichukua nchi mnarudi!
Mliwadanganya Kingunge,Lowasa na Sumaye kuwa wahamie UKAWA Uchaguzi 2015 MNACHUKUA nchi Lowasa atakuwa Raisi, Sumaye Waziri mkuu Wakajitosa kichwa kichwa.Ona sasa wazee wazima mmewaweka juani msivyo na haya!!!

Hao mliowalaghai hamjatosheka?
 
Nyie kazi yenu ni kusubiria waliotemwa tu? Kwa kweli Magogoni mtaionea kwenye tv tu.
 
Mliwadanganya Kingunge,Lowasa na Sumaye kuwa wahamie UKAWA Uchaguzi 2015 MNACHUKUA nchi Lowasa atakuwa Raisi, Sumaye Waziri mkuu Wakajitosa kichwa kichwa.Ona sasa wazee wazima mmewaweka juani msivyo na haya!!!

Hao mliowalaghai hamjatosheka?
Hujui hao wote uliowataja walishastaafu?
 
Back
Top Bottom