DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Nani kakwambia anguko la CHADEMA limeshindikana? kuanguka kwa chama is a process, mwaka 1995 nani aliamini kuwa NCCR ya Mrema ingeangukia pua? miaka michache iliyopita nani aliamini kuwa CUF itasambaratika? is only a matter of time hasa pale kampuni litakapokataa kubadili uongozi wake wa juu waliojihakikishia kuwa wao ndio wamiliki wa kampuni la CHADEMA.

Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae aliandika karibu Makara tano hivi zote ni majungu dhidi ya chadema huku akitaka kianzishwe chama kipya. Japo kuwa lengo lao kuu la Anguko la chadema limeshindikana lakini lengo lao la kuanzishwa vyama vipya limetimia kwani kuna ADC na CCK nahisi wanaweza kwenda hata kugombea Uenyekiti au ukaitibu mkuu huko badala ya kila siku kuamkia kwenye mitandao nakuongea utumbo dhidi ya chadema kwani mmechelewa sana , kugundua kuwa chadema ni chama makini.

ADC, nini sera zake.
Wapi makao yake makuu,
Akina nani ndio viongozi wake wakuu,
Je kimeshapata usajili wa kudumu,
Nini DIRA ya ADC,
ADC ni chama kilichokuja kurudisha matumaini ya Watanzania kuhusu mabadiliko ya nchi baada ya vyama vingine vyote vya Upinzani kushindwa kutimiza malengo ya kuwakomboa Watanzania.
Karibuni ADC - Dira ya Mabadiliko, Mkombozi wa Kweli wa Watanzania.
ADC nashindwa kukitofautisha na Babu wa Loriondo.
Anae subiria chadema ianguke na mfananisha na Fisi anaye mfwata binadamu nyuma akisubiri mkono uanguke ili auokote kumbe kwa binanadamu ni mbwembwe za kutembea tu.
Tuache ubishi usiokuwa wa maana tunatakiwa kurejea historia ya vyama vya upinzani Tanzania.
Kifo cha CHADEMA hakiko mbali kama unavyoshawishika kuamini. Kuna uwezakano mkubwa CCM wakamsimamisha mtu anatakayeungwa mkono na kanisa kama EL au mwungine, Kanisa likishatoa support yake, CDM inarudi ilikotoka! 2. Kuna manung'uniko mengi juu ya uendeshwaji wa CDM kama chama, tumeshaanza kusikia na viongozi wengine wameshatengwa! Hilo ni time-bomb lazima lilipuke kabla 2015!