kitendo cha kuwafanyisha wanajeshi usafi bila ya kupenda ni fedheha kwa jeshi, kweli Chadema waongoza nchi, hata teuzi mbalimbali za mh. mtukufu target ni kupambana na ChademaWanajeshi wangefanya usafi mitaani, kwa sababu ya chama kilichoko ICU?
Jeshi la polisi lingehamia barabarani kwa sababu la chama kilichoko ICU?
Ile marufuku ya SIASA ulidhani imewekwa kwa ajili ya TLP au UDP? Hapana! Ni kwa ajili ya hiko chama ambacho wewe unasema kiko ICU!
CHADEMA ndicho kinacho - run TANZANIA, kubali au kataa, lakini keep this in mind!
Dah! Ndio unagundua leo? vunja ukimya amsha na wanaokuzunguka ambao hawajajua badoKupitia operation UKUTA nimegundua yafuatayo.
1/Kumbe chadema kina nguvu kubwa nchi nzima,uthibitisho ni mazoezi ya polisi nchi nzima.
2/Kukamatwa kwa viongozi wa chama maeneo mbali mbali ni ishara kua hiki chama ni kikubwa na kina uongozi imara kila Kona.
3/Kupitia matamko ya vitisho vilivyotolewa na viongozi wa serikali maeneo mbali mbali ni ishara kua chama kipo imara.
4/Ubunifu wa hali ya juu wa viongozi wa CHADEMA kupelekea watu kukosa usingizi.
5/CHADEMA kwa sasa ni chama maarufu kuliko hata CCM kutokana na kutajwa sana katika maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
6/Umoja wa wanachama wa chadema na wafuasi wao ni mkubwa.
6/ Imedhirisha kua bila chama makini kama CHADEMA watawala wanaweza kujisahau.
Hiyo chedema ni chama kipya au? Sisi huku kijijini kwetu tunajua chadema hiyo chedema bado haijafika.Kwakweli huku kijijin hata hawaelew chedema kama bado ipo tanzania
Ni kweli chedema haikuwahi kuwepo tanzaniaKwakweli huku kijijin hata hawaelew chedema kama bado ipo tanzania
We retarded brain CCM imekuwepo kabla hujazaliwa na hata kabla Mtei hajaizaa CHADEMA.Ukizingatia buku saba 7 na UVCCM wapo kwa ajiri ya chadema ili wapate buku 7.IT MASAKI wapo kwa ajiri ya chadema kwa hiyo bila chadema uvccm.IT MASAKI.BUKU 7 LUMUMBA hamtaweza kusavaivu haya maisha ombeni Mungu chadema iendelee kuwepo
Swissme
Ndio hawa wamekuja haya kachukue buku 7 zakiWe retarded brain CCM imekuwepo kabla hujazaliwa na hata kabla Mtei hajaizaa CHADEMA.
Na CCM itakuwepo hata baada ya wajukuu wako kubaleh.
You justify your failure by excuses. So pathetic. What was done by the government was to deal with a deadly virus that CDM wanted to propagate as a way of rejuvenating itself but in essence, CDM is damn dead. What you want people to believe as a show of strength are just the last kicks of a dying horse.
Nenda nyanda za juu kusini,mashariki, na magharibi mwa Tz, wananchi wanaipongeza world Bank na msaada kwa hisani ya watu wa marekani mana ndo waliofanikisha kwa 90% umeme wa REA wengine wamemudu kununua solar na wametundika madishi kwenye paa zao wakipata taarifa ya kile kinachojiri katika nchi yao tembea uone usiishie mjini unakoishi na JF tuUnaongelea vijiji vipi hivyo, unaongelea wananchi kutazama TV? Ila umesahau hao wananchi wanaishukuru serikali sasa wanatizama TV
TzDaima kesho litatoka?kiukweli chadema ni moto wa kuotea mbali...
Kwakweli huku kijijin hata hawaelew chedema kama bado ipo tanzania
Kupitia operation UKUTA nimegundua yafuatayo.
1/Kumbe chadema kina nguvu kubwa nchi nzima,uthibitisho ni mazoezi ya polisi nchi nzima.
2/Kukamatwa kwa viongozi wa chama maeneo mbali mbali ni ishara kua hiki chama ni kikubwa na kina uongozi imara kila Kona.
3/Kupitia matamko ya vitisho vilivyotolewa na viongozi wa serikali maeneo mbali mbali ni ishara kua chama kipo imara.
4/Ubunifu wa hali ya juu wa viongozi wa CHADEMA kupelekea watu kukosa usingizi.
5/CHADEMA kwa sasa ni chama maarufu kuliko hata CCM kutokana na kutajwa sana katika maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
6/Umoja wa wanachama wa chadema na wafuasi wao ni mkubwa.
6/ Imedhirisha kua bila chama makini kama CHADEMA watawala wanaweza kujisahau.
Alipata wapi akili ya kujenga nyumba yenye sakafu na kununua tv huko kijijini kwenu?Kuna jamaa kijijin kwetu anaitwa jinga p man alijaribu kuuwa mende kwa nyundo kajikuta ka aribu tv, kapasua na sakafu alafu mende katowekea jikon!
Failure ya UKUTA ndo mnaita ubunifu?
Nyie watu mko delusional kweli.
Chama kiko ICU
Uliza Al Sisi wa Misri alivyo wateketeza Muslim Brotherhood na maandamano yai yasiyoisha.Sasa kama chama kiko ICU si msubiri kife tu! Yanini kuhangaika na mazoezi ya polisi kutwa kucha, mazoezi ambayo hatujawahi kuyasikia au kuyaona tangu nchi ipate uhuru miaka 55 iliyopita? Kipi mnachoogopa chama ambacho kipo ICU kikiandaa mkutano au maandamano na wafuasi wake!?