mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF,
Tukiwa na mwanaHisabati mbombezi wa hali ya juu, ni muda wa muafaka sasa kuunganisha nguvu kuanzisha kiwanda kwani kutumia taaluma yake ameona viwanda vingi vinakwamishwa na nini na mitaji inakufaje usipokuwa makini, kwa kuwa yeye anamtaji sasa na mbinu za kuomba mikopo na kuiweka kwenye matumizi sahihi ameona tangia awali, kama akiungana na wenzake, wanaweza kuzalisha ajira kubwa.
Tanga ni sehemu nzuri kwa kilimo, wawekezaji wengi kwa sasa wamenyanganywa mashamba kwani walifanya udanganyifu wakachukua ardhi wakaikopea. kwa sasa imerudishwa serikali hivyo haya mashamba wasomi hawa wakiyatumia yanaweza kuwapa faida kubwa kuliko muda ambao wangeutumia kuwa wanasiasa.
mabalozi na Mh. Prof. kama mnataka kuliokoa taifa kwa kuongeza ajira basi anzisheni kiwanda au jiingize kwenye kilimo chochote tuweze kupata chochote kutoka kwenu.