Mliosoma tuition za mchikichini,toa ushaidi humu

Future president

Senior Member
Dec 30, 2013
144
39
Nikikumbuka enzi nipo o level mpaka a level,hakika nilikuwa nawaamini sana walimu wangu wa tuition za mchikichini eg: teacher hidden agenda,mud,osama,mbuga,hawa jamaa ni noma hata walimu wa shulen hamna kitu,mimi nilikua nasoma masomo machache sana kwa darasan english,civics,kisw,histori,mengine yote ni chimboni,kama umesoma tuition unaweza toa ushaidi kwa ubora wa tuition za mchikichini
 
kweli wanasaidia kucover kwa syllabus lakini swala linakuja kwenye ufaulu wa wanafunzi hasa wa dsm shule za serikali kwakweli hapo tusidanganyane ufaulu umeshuka angalia shule iliyopo karibu na mchikichini (mchikichini sec) performance inasikitisha.
 
shule ya mchikichini wanafunzi inaonekana labda wanazembea kushuka chimbo au waaalimu wanawabania sijui,ilibidi wao wawe mfano siyo watu kutoka mbali ndiyo wanafaidi mchkdown.ndio maana mtu anaweza kaa na ndugu yake mwalimu na akafeli vilevile maana anachukulia mazoea kila kitu.ebwana wale jamaa wa mchikichini ni noma.henry ,hidem,osama ,sir muddy,mzuka na wengineo,na kuna mzee siwezi msaau kanipa kitu ambacho ni cha gharama lakini nimekilipia kwa chini ya elf hamsini.huyu mzee ni mzee mmoja yupo tuliani magomeni,waliosoma pale masomo ya biashara watakubaliana nami.kwa babu
 
hidden -math,
osama na mudy-physics
noumer sanaa hao jamaa., nw ardhi university .. ! mc them....!
 
hivi yule mswahili hidden agenda bado yupo?alishawahi nipiga pindi la namba miaka ile ya 1999 kule maeneo ya tandika.baadae nikasikia yaye na wenzake waliokuwa wanasoma mlimani walijiunga kufungua tution mchikichini kkoo.ila jamaa kwa sound yule mpaka burudani.
 
hakuna biashara inayolipa zaidi ya ile ya mchikidown, Muddy alikuwa anaingiza si chini ya laki 7 kwa siku....Kuna Mgote, Sir Unga, Mwarami na wengine....walituteka pugu boys kabla ya ujio Wa HM mutabuzi....
 
shule ya mchikichini wanafunzi inaonekana labda wanazembea kushuka chimbo au waaalimu wanawabania sijui,ilibidi wao wawe mfano siyo watu kutoka mbali ndiyo wanafaidi mchkdown.ndio maana mtu anaweza kaa na ndugu yake mwalimu na akafeli vilevile maana anachukulia mazoea kila kitu.ebwana wale jamaa wa mchikichini ni noma.henry ,hidem,osama ,sir muddy,mzuka na wengineo,na kuna mzee siwezi msaau kanipa kitu ambacho ni cha gharama lakini nimekilipia kwa chini ya elf hamsini.huyu mzee ni mzee mmoja yupo tuliani magomeni,waliosoma pale masomo ya biashara watakubaliana nami.kwa babu

Sure kaka, babu wa turiani alikua vzuri, den lengo lilikua kufundsha and nt kumake profit. Do yo remember dis " wakule wanasikia, wa huku wanasikia, sijui ww hapa" tanx babu always kajenga msing wangu wa Accounts vzuri, am proud 2day
 
daaah kusema ukweli hawa jamaa wamesaidia sana madent wa gov skuli.....nakumbuaka nlianza kusoma pale form 2,yaani nlikuwa nkisoma kwa mbuga bios na chem ,sirudii tena kimekaa kchwani,hidden,mudy wapo njema sana kufundisha,kusema kweli wamesaidia sana madenti wengine tusingekuwa hapa tulipofika bila msaada wao
big up to them
 
sure kaka, babu wa turiani alikua vzuri, den lengo lilikua kufundsha and nt kumake profit. Do yo remember dis " wakule wanasikia, wa huku wanasikia, sijui ww hapa" tanx babu always kajenga msing wangu wa accounts vzuri, am proud 2day
babu anasala yake kila siku hiyo hiyo na haisahau haha
 
Nilikuwa miaka ya 2006-2010 Mbuga alikuwa anajiita "The Computer",muddy alikuwa anajiita"German machine".............Hidden alikuwa anapenda sana kuzungumzia mapenzi...............miss those days at mchikichini
 
Nimesikia Amefariki. Kama kweli Apumzike kwa Amani. (Moody physics)
IMG-20201111-WA0030.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom