Mliosoma shule ya msingi tu

mmmmhh!!!kumbe wadau wengi humu jf wa long sana,around miaka ya 70s na 80s ndo wanasoma sizitaki mbichi hizi!!,ndo maana maana hapa kuheshimiana kunahitajika maana waweza kuta unatoleana mbovu na babu yako.Sie wengine hiyo story ni ya miaka ya 2000s

Kwa hiyo miaka ndo maana unaitwa UKAWA.
 
mmmmhh!!!kumbe wadau wengi humu jf wa long sana,around miaka ya 70s na 80s ndo wanasoma sizitaki mbichi hizi!!,ndo maana maana hapa kuheshimiana kunahitajika maana waweza kuta unatoleana mbovu na babu yako.sie wengine hiyo story ni ya miaka ya 2000s

siyo wote mkuu mbona namie wa miaka ya 2000 niko darasa la 4
 
njoja nikumbuke mweee sijui mwaka upi Jipu
 
Last edited by a moderator:
mmmmhh!!!kumbe wadau wengi humu jf wa long sana,around miaka ya 70s na 80s ndo wanasoma sizitaki mbichi hizi!!,ndo maana maana hapa kuheshimiana kunahitajika maana waweza kuta unatoleana mbovu na babu yako.Sie wengine hiyo story ni ya miaka ya 2000s
Uwepo umri wa kustaafu kwenye baadhi ya majukwaa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…