Mliosoma Lugalo sec.Tuonane hapa..

Mgumu classic

Member
Dec 15, 2017
51
42
Nateremka pale makongo Op.bucha ya pig nimepga pensi ya kak Fup na kashati naingia lugalo sec.(Saiv makongo high school)Madarasa ni bati full suit Viti vya mabat meza za mabat, nmepokelewa na afande Chacha mtaka sifa Ananrusha kchurachura.. Nimechelewa et dah.. Nmepta hapa saiv nikakumbuka mbal Sana 1994 iyo.. Karibun
 
ha ha ha ha ha kuna mnyama alikua anaitwa Afande miraji siku nafika pale naambiwa amefariki kwa ajali ya gari alikua anaenda kwao tanga watu wanasherehekea kama mwaka mpya vile ha ha ha ha ha jamaa nasikia alikua katili anaweza kukuzabua mabao mbele ya headmaster mi nimesoma enzi za kina malongoli na meja kisarika kuna siku hatukuimba wimbo wa taifa assemble pale da siku iyo shule iliwaka moto tulipiga pushap pale kuanzia asubui mpaka saa saba nazani jua lote nimetuishia tumechafuka balaa ha ha ha ha sitasahau kuamka kesho miguu misuli imekaza alafu sio peke yangu kalibu nusu ya shule
 
Back
Top Bottom