pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 461
- 644
Wakuu naomba kufaham mliopo Geita usimamizi wa uchaguzi itakuwa lini ili tuweze kutafuta hela za kodi.
Nipo town hapaKesho na keshokutwa, upo wapi wewe
Naanzaje kuweka namba yangu hapa, wanaonijua waendelee kunijua.Mbona uku wajabandika mabango...eb naomba namb ako nikupigie
Mkuu nataka kuzamia kwa interview haapo keshoNaanzaje kuweka namba yangu hapa, wanaonijua waendelee kunijua.
Uliza chochote utajibiwa hapa. Mahera, kaijage na mihayo wanasoma uzi huu.
Unapataje ela ya kodi kwenye interview mkuu ebu tupe maujanja.Wakuu naomba kufaham mliopo Geita usimamizi wa uchaguzi itakuwa lini ili tuweze kutafuta hela za kodi.