mpimamstaafu JF-Expert Member Jul 18, 2018 4,445 4,704 Dec 8, 2019 #1 WanaYanga nawasalimu.Kupitia mitandao tunaona picha za Uwanja wa Yanga huko kigamboni.Hebu tupeni dondoo hizi habari ni za kweli?
WanaYanga nawasalimu.Kupitia mitandao tunaona picha za Uwanja wa Yanga huko kigamboni.Hebu tupeni dondoo hizi habari ni za kweli?
koboG JF-Expert Member Apr 3, 2016 2,484 4,393 Dec 8, 2019 #2 Vyuraaaa Amkeni bn ππππππ
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,212 20,203 Dec 8, 2019 #3 Wanatafuta pesa ya kulipa mishahara kwa Sasa uwanja sio kipaumbele
Tresor Mandala JF-Expert Member Aug 20, 2010 37,692 79,121 Dec 9, 2019 #4 rodrick alexander said: Wanatafuta pesa ya kulipa mishahara kwa Sasa uwanja sio kipaumbele Click to expand... Timu INA wadhamini kama GSM Taifa Gas Sports pesa Lakini haina mishahara ya wachezaji Ila INA kamati balaa kila siku wanaunda kamati
rodrick alexander said: Wanatafuta pesa ya kulipa mishahara kwa Sasa uwanja sio kipaumbele Click to expand... Timu INA wadhamini kama GSM Taifa Gas Sports pesa Lakini haina mishahara ya wachezaji Ila INA kamati balaa kila siku wanaunda kamati
mpimamstaafu JF-Expert Member Jul 18, 2018 4,445 4,704 Dec 9, 2019 Thread starter #6 mtu chake said: Timu INA wadhamini kama GSM Taifa Gas Sports pesa Lakini haina mishahara ya wachezaji Ila INA kamati balaa kila siku wanaunda kamati Click to expand... Toka lini Rostam Aziz wa Taifa gas akawa mtu wa mpira? Yeye Siasa na madili
mtu chake said: Timu INA wadhamini kama GSM Taifa Gas Sports pesa Lakini haina mishahara ya wachezaji Ila INA kamati balaa kila siku wanaunda kamati Click to expand... Toka lini Rostam Aziz wa Taifa gas akawa mtu wa mpira? Yeye Siasa na madili
Tresor Mandala JF-Expert Member Aug 20, 2010 37,692 79,121 Dec 9, 2019 #7 mpimamstaafu said: Toka lini Rostam Aziz wa Taifa gas akawa mtu wa mpira? Yeye Siasa na madili Click to expand... Hahahaha, apige dili Yanga
mpimamstaafu said: Toka lini Rostam Aziz wa Taifa gas akawa mtu wa mpira? Yeye Siasa na madili Click to expand... Hahahaha, apige dili Yanga
mjingamimi JF-Expert Member Aug 3, 2015 39,286 44,852 Dec 9, 2019 #8 Jana nimepita nimeona ng'ombe na mbuzi wakijipatia riziki.