Mliopo Dar je ni kweli Yanga imeanza ujenzi wa uwanja Kigamboni?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
WanaYanga nawasalimu.Kupitia mitandao tunaona picha za Uwanja wa Yanga huko kigamboni.Hebu tupeni dondoo hizi habari ni za kweli?
Screenshot_20191208-104030_Facebook.jpeg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom