Tatizo lenu mkiwa mnatoa au kusaidia mnangojea shukrani, ndio maana mnafikia kuwa na vifundo na kuandika haya.hapo kwenye kijitolea kwa wengine wakat wewe hupat msaada toka kwao ndio kosa lilipo
my friend ukitaka kufanikiwa kua na roho mbaya tu mjali anaekujal asiekujal tupa mbali.
Sisi Waswahili tunasema hivi "Tenda wema uende zako, usingoje shukrani".
Huwezi kufanikiwa ukiwa na roho mbaya, labda kama hujui maana ya kufanikiwa ni ipi.
Ahsante.