mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
Hiyo nayo unaita kitambokupiga cm chooni means kunusa ng'onda ya kiatu dah nakukumbuka nina wiki mbili shuleni form one hyo namwagiwa maji usiku wa saa 6 hv mkoani iringa mafinga alafu naning'inizwa kwenye kechi namwimbia jeba la form four wimbo wa TID ZEZE mpaka alale dah kitambo xana kabla ya ndoa ya Cuf na Ccm yani 2003 Mpaka nw npo chuo kweli mungu mkubwa.
Kumbe unakuwa na Heshima kwenye Topic za Watu wengine kwenye Topic zangu unaleta pumba zako mbovu hahahahahah unatokea shemu gani wewe hapo bongo? Ninafikiri wewe unatokea mbeya nimecheka sanaMimi nakumbuka niliambiwa niende kwenye duka la shule nikanunue Amoeba. Nilivyofika nikamwambia muuzaji alikuwa Form 4, akacheka sana. Hiyo ilikuwa 87 pale Tosamaganga
Mimi nakumbuka niliambiwa niende kwenye duka la shule nikanunue Amoeba. Nilivyofika nikamwambia muuzaji alikuwa Form 4, akacheka sana. Hiyo ilikuwa 87 pale Tosamaganga
mkuu mafinga shule gani?kupiga cm chooni means kunusa ng'onda ya kiatu dah nakukumbuka nina wiki mbili shuleni form one hyo namwagiwa maji usiku wa saa 6 hv mkoani iringa mafinga alafu naning'inizwa kwenye kechi namwimbia jeba la form four wimbo wa TID ZEZE mpaka alale dah kitambo xana kabla ya ndoa ya Cuf na Ccm yani 2003 Mpaka nw npo chuo kweli mungu mkubwa.
<br />Hiyo nayo unaita kitambo
mkizi na hasira zakeNingekuwa mimi pangechimbika bila jembe!!
nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah
<br /><font size="3">nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah</font>
Kudadadeki hii kitu inanikumbusha machungu aisee kuna **** mmoja mwana wakati naanza F1 alikuwa alinipa wakati mgumu sana yule mshenzi. Jamaa alikuwa anavuta fegi kwa hiyo niliporipoti tu shule akaniwahi dogo lete masimbi ya msasa wakati huo hata hiyo misemo masimbi na msasa sijui ni kitu gani..bado nashangaa akanibonyeza bonge la kwenzi....ah! hii kitu mbaya kabisa. yaani f1 yote nilikuwa mhanga wa kum-supply msasa ( Sigara sports)....
duh wapendwa,
mbona kazi mlikuwa nayo!!
mie Mungu aliniepusha yote hayo. labda kidooogo darasa la nne ndio nilikutana na kavulana fulani hivi kachokozi sana, ila kwa msaada wa wakaka fulani hivi na walimu kalidhibitiwa mapema kabla hakajanikosesha raha za shuleni!
Mungu mkubwa wapendwa
Namshukuru Mungu hii mikosi niliizuia mapema sana hivyo sikuonewa, nilitoa advertise kwa kubwa moja ikawa fundisho kwa wakubwa wote waonevu walikuwa wananitazama kwa mbali.