mliopitia boarding hii haikua form one ila bomu 1

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,772
4,641
nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah
 
Attachments

  • uonevu form one.jpeg
    uonevu form one.jpeg
    60.4 KB · Views: 537
kupiga cm chooni means kunusa ng'onda ya kiatu dah nakukumbuka nina wiki mbili shuleni form one hyo namwagiwa maji usiku wa saa 6 hv mkoani iringa mafinga alafu naning'inizwa kwenye kechi namwimbia jeba la form four wimbo wa TID ZEZE mpaka alale dah kitambo xana kabla ya ndoa ya Cuf na Ccm yani 2003 Mpaka nw npo chuo kweli mungu mkubwa.
 
mimi nilipewa sh 100 na jamaa ya form3 nikamnunulie 'shock absorber' kufika shop bahati nzuri yule mzee alielewa mchezo ikabidi anifahamishe kurudi bwenini nikataka kupigana nae, aisee crue yake iliingilia kati wacha nile mikanda ya kufa mtu 'Eti we njuka unataka kupigana na form3?'
 
kupiga cm chooni means kunusa ng'onda ya kiatu dah nakukumbuka nina wiki mbili shuleni form one hyo namwagiwa maji usiku wa saa 6 hv mkoani iringa mafinga alafu naning'inizwa kwenye kechi namwimbia jeba la form four wimbo wa TID ZEZE mpaka alale dah kitambo xana kabla ya ndoa ya Cuf na Ccm yani 2003 Mpaka nw npo chuo kweli mungu mkubwa.
Hiyo nayo unaita kitambo
 
Mimi nakumbuka niliambiwa niende kwenye duka la shule nikanunue Amoeba. Nilivyofika nikamwambia muuzaji alikuwa Form 4, akacheka sana. Hiyo ilikuwa 87 pale Tosamaganga
 
Kumbe unakuwa na Heshima kwenye Topic za Watu wengine kwenye Topic zangu unaleta pumba zako mbovu hahahahahah unatokea shemu gani wewe hapo bongo? Ninafikiri wewe unatokea mbeya nimecheka sana
 
Mimi nakumbuka niliambiwa niende kwenye duka la shule nikanunue Amoeba. Nilivyofika nikamwambia muuzaji alikuwa Form 4, akacheka sana. Hiyo ilikuwa 87 pale Tosamaganga

Duh, Mwaka 87 ulishazaliwa kaka? au ulikuwa ulikuwa unamaanisha mwaka 1987?
 
kupiga cm chooni means kunusa ng'onda ya kiatu dah nakukumbuka nina wiki mbili shuleni form one hyo namwagiwa maji usiku wa saa 6 hv mkoani iringa mafinga alafu naning'inizwa kwenye kechi namwimbia jeba la form four wimbo wa TID ZEZE mpaka alale dah kitambo xana kabla ya ndoa ya Cuf na Ccm yani 2003 Mpaka nw npo chuo kweli mungu mkubwa.
mkuu mafinga shule gani?
 
nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah

Watemi wa shule au mbwa wa kunusa na kufundisha adabu hawakuwa form 3 na 4 bali form 2..

Nakumbuka form 1 alikuwa na majina kibao hadi sina hamu,

Formless, njuka, single cell, amoeba...etc!!
 
<font size="3">nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah</font>
<br />
<br />
Kubembeleza wababe vitandani mwao mpaka walale!
 
Kudadadeki hii kitu inanikumbusha machungu aisee kuna **** mmoja mwana wakati naanza F1 alikuwa alinipa wakati mgumu sana yule mshenzi. Jamaa alikuwa anavuta fegi kwa hiyo niliporipoti tu shule akaniwahi dogo lete masimbi ya msasa wakati huo hata hiyo misemo masimbi na msasa sijui ni kitu gani..bado nashangaa akanibonyeza bonge la kwenzi....ah! hii kitu mbaya kabisa. yaani f1 yote nilikuwa mhanga wa kum-supply msasa ( Sigara sports)....
 
Mie sisemi lakini big up sana boarding schools. hata leo hii ukiona kijana mjanja, mchapa kazi, komandoo na kadhalika ujue hayo ni matunda ya boarding school. Ulikuwa unafundishwa maisha --- kama ukiamua kulia unalia mpaka machozi yanakauka lakini hakuana wa kukusaidia, mwisho unatambua kuwa hapo ni kupambana kianaume tu.

Kilichonifurahisha wiki moja kabla hatujamaliza form one wazee wa form two walituambia kuwa tumehitimu na kutukabidhi mikoba kuwasubiri vijana wanaokuja mwakani. Mungu wee tuonee huruma kwa yale tuliyofanya wakati huo wazee wa form 3 wakawa wanatusifia kwa kazi nzuri. ha ha ha yale ndo yalikuwa maisha ya kweli
 
duh wapendwa,

mbona kazi mlikuwa nayo!!

mie Mungu aliniepusha yote hayo. labda kidooogo darasa la nne ndio nilikutana na kavulana fulani hivi kachokozi sana, ila kwa msaada wa wakaka fulani hivi na walimu kalidhibitiwa mapema kabla hakajanikosesha raha za shuleni!

Mungu mkubwa wapendwa
 
Jamani jamani!, darasa la nne? kalikuwa kanataka nini hako kavulana!
 
Namshukuru Mungu hii mikosi niliizuia mapema sana hivyo sikuonewa, nilitoa advertise kwa kubwa moja ikawa fundisho kwa wakubwa wote waonevu walikuwa wananitazama kwa mbali.
 
Kakuruvi una bahati hukukutana na makamanda wa ukweli. Kosa la kumuadabisha form II adhabu yake huwa haina mwisho. Huwa unaundiwa kikosi kazi cha watu kadhaa (zaidi ya kumi) na kuhakikisha kuwa hulali kwa raha kila usiku. Mpaka mwenyewe ungeandika barua ya kuomba msamaha . Ilikuwa ni kazi kwa kwenda mbele. Nilishawahi kushuhudia jamaa kubwaaaa lina lizwa na kijana mdooogo wa form 10. Acha Mungu aitwe Mungu, usichezee makamanda wa form 10
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom