Mliopangiwa Bulombola Kigoma

Mh ndugu yangu fungua moyo kule kuna kero za kila aina na hata ambazo hukuwahi kukutana nazo
 
kulia mwishoooooooi,,,,,hpo baba kuna mtu anaitwa Luten Mtono hana masiala,,,cha msingi ukaze,lugha km kula tano,,,mzabuni time,,mwaga tee zitakuwa sehemu ya mafunzo yko,,,,elimu yko weka kando kwnza pga mzgo....utatukuta kwetu ukifaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…