RSM Dominik
Senior Member
- Apr 3, 2026
- 144
- 373
Ni mwendo wa shoka kichwani tu nimeona taarifa kuna mwingine wa kusini leo kalambishwa udongoMke ni baraka atakuja na kipato......π
(Team kweka wanasonya kisha wananambia kmmk)
Mpe ushauri wa kuishi na familia akiwa na pesa ndogo.Ni mwendo wa shoka kichwani tu nimeona taarifa kuna mwingine wa kusini leo kalambishwa udongo
Ni mwendo wa utamu utamuπ€π π π πWakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Buni hata kabiashara kadogo cha kufukia mashimo.Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
NI ukichaa sanaVile mkeo anakuona ukiwa hauna hela.....
View attachment 3692044
"Achana na comfort zone" π€π€π€Early 30's
Huna mke
Huna mtoto
Huna maendeleo.
Pole.....miaka inaenda kwa kasi sana....think of you at 50's hali itakuwaje.
Jikatae...zama pori lolote jitese kwa miaka miwili then rudi town angalau na kakitu.
Heshima ya mtu ni pesa
Tabasamu la mtu ni pesa
Nguvu za kiume ni pesa.
Inshort pesa ndiyo mume wa dunia ya Leo..
Achana na comfort zones.
Hii ni shingapi?150,200,300
Nacheka tu mie na nshakula nimeshiba aaaah utanambia nini πCheka Evelyn Salt π π π
Umeniwahi.. Boya huyu anazinguaHii ni shingapi?
Ko nifosi hvo hvo sioMke ni baraka atakuja na kipato......π
(Team kweka wanasonya kisha wananambia kmmk)
Usifosi we tafuta hela na uinjoi hela zako...... wanawake wote ni mbwa πΉDah
Ko nifosi hvo hvo sio
Duh ndo unanikandia kabisa chiefKua uyaone....
Mkuu tia neno tafadhaliNi mwendo wa utamu utamuπ€π π π π