Mtani mie nipo kando kabisa...nilikuwa natoa credits tu na kumtia moyo mshikaji
teh teh...jiandae kupelekwa kwa Putin...chezeya nchi yenye kumwagika snow badala ya mvua
AHAHHAHAHHHAHAHHHHHH(nimecheka kwa sauti mjue!) Kaizer kuja huku,hiv jando na unyago si mlikuwa mnafundishwa kusololesha,sasa ilikuwaje tukaviacha i see!
on sasa hapa watu wanatokelezeya na mistari ya kakangu yuko russia anasomea udaktari!sasa ndo nimerudi!
ehehehhehhe!
Kongosho nikipata mtoto wa kiume ntamleta umlee asee!
Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
Kwanini usiwajibu waliotuma kwanza au safari ni addition to CV?
Wala hukuwa na haja ya kuyasema yote haya kwani hata huko Russia JF ipo na wanaotaka wangekufikia tu.Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
Mkuu kuna jamaa mmoja huku mtaani mwaka 2007 alitangaza mno anakwenda Marekani kila mtu alijua jamaa anaondoka. Baada ya mwaka kuna jamaa mwingine alirudi nchini akitokea Marekani ambako alimkuta jamaa yetu aliyeondoka kwa mbwembwe akihudumia Kikongwe mmoja kwa kila kitu.mitz bwana tushajua unaenda urusi mkuu safari njema..
cha!
kumbe na we ni daktari!
au ulivokuwaga russia ulikuwa unasomaga vitabu vya bro,ila bora ulikuwa unasoma vile vitabu manake lile baridi unafkr ungefanyaje kakangu!
Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
AHAHHAHAHHHAHAHHHHHH(nimecheka kwa sauti mjue!) Kaizer kuja huku,hiv jando na unyago si mlikuwa mnafundishwa kusololesha,sasa ilikuwaje tukaviacha i see!
on sasa hapa watu wanatokelezeya na mistari ya kakangu yuko russia anasomea udaktari!sasa ndo nimerudi!
ehehehhehhe!
Kongosho nikipata mtoto wa kiume ntamleta umlee asee!
Bila shaka kigezo cha neno "Russia" na kaka yaku kusomea "Udaktari" ni mtego!
Hata kama ulikuwa Chamanzi wataamini tu!
Kilalakheri mkuu!
Vipi utaondoka na ndege ya 1 way ama utaunga unga njiani, najiandaa kukuPM baada ya jibu la swali hili.Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
Aisee, kama mke anapatikana kwa usaili wa namna hii, sishangai kwann ndoa nyingi zipo kushoto kulia at per!Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
uchokozi wako huu mi ntafeli ujue....