Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi


ha ha ha watanganyika bana...mwenzio niko kazini na hujui ni kiasi gani nalipwa na pengine wewe kukipata kwa mwezi ni ndoto..so kaa kimya
 

Sasa kwani u'secretary' wa mtu fulani maarufu si kazi? nani kakuambia uSecretary ni utumwa!? wengine mama zetu walikuwa maSecretary na wametusomesha tuna degree kadhaa now na hiyo hiyo hela ya uSecretary! Ili mradi anakulipa stahiki yako hiyo ni ajira! Hata maCelebrity wa kimataifa wameajiri watu kuwasaidia majukumu yao mbali mbali, kama hili la kuto taarifa kwa public. sijui unamchukia nani kati ya 'Diamond' au huyu jamaa ambaye ni Publicist wake..but heey man, stop hating!
 
Tz We have a long way to go...

Sio vibaya kuwa Secretary wake but sidhani kama una mkataba au unafanya kazi kwa ajili ya upambe kama wale wauza sura kwenye shooting,,,maana wenzenu Ulaya wanalipwa kwa kazi hizo.
 
Tz We have a long way to go...

Sio vibaya kuwa Secretary wake but sidhani kama una mkataba au unafanya kazi kwa ajili ya upambe kama wale wauza sura kwenye shooting,,,maana wenzenu Ulaya wanalipwa kwa kazi hizo.

bakikufikilia hivyo hivyo....but niko kwenye kazi halali na pengine mshahara ninaoupata kwa mwezi wewe kuupata ni ndoto ya jioni
 
bakikufikilia hivyo hivyo....but niko kwenye kazi halali na pengine mshahara ninaoupata kwa mwezi wewe kuupata ni ndoto ya jioni

Jipe moyo kijana unafikiri kila mtu kaajiriwa nini? Mi nina counts hela daily sio wewe unasubiria kila trh 31.
Back in the days tokea nitoke kwenye ajira.
 

we Penny?au sepe2?au kidoti?au uwoya?au wolper?au aunty?au mama salma k?
Maana hao mi ndo ntawaamini kwan hadi boxer yake wanaijua
 
ha ha ha watanganyika bana...mwenzio niko kazini na hujui ni kiasi gani nalipwa na pengine wewe kukipata kwa mwezi ni ndoto..so kaa kimya

acha kutufanya sisi ni wajinga wewe! Diamond ana blog yake anayoweka info zake umo na ajaajiri mtu hapa jamii forum! Kwaio acha kutuzubaisha hapa wewe ni ngese tu anaependa aolewe na uyo diamond! Kwanza mi nakujua sana we jamaa tena kwenye facebook unajiita kisula real love we ni shabiki tu na auna uhusiano wowote na uyo diamond acha kujifagilia wewe ndina jilaumu kwa ujinga uliouandika hapa yakua autaurudia tena# learn from ur ----in mistakes#
 
Watanzania mbadilike.Watu wanasifia vya kwao nyie mnapiga mateke.Dogo nyota yake inag'ara na watu wanapenda anachokifanya na hivyo anaingiza kipato na watu wanapata ajira kwa kazi yake ya muziki akiwemo huyo 'secretary' wake.Jifunzeni kutoka kwa wenzenu wa Nigeria,RSA,Uganda,Marekani na kwingineko muone jinsi ambavyo watu wanakubali kazi za watu wao.Tatizo la Ukoloni halijaisha kwenye bongo zenu,mtakuwa watumwa hadi lini?Sifia mtu anapofanya mazuri na kemea anapofanya mabaya.Baadhi yenu utakuta mvaa hata nguo zenye lebo za wanamuziki wa ulaya ilihali hata kununua T-shirt yenye lebo ya mtanzania hamnunui,ndugu zangu huo bado ni utumwa kifikra yaani mawazo mgando.WATANZANIA MBADILIKE NA MPENDE VYENU...Mnyongemnyongeni ila haki yake mpeni.Wewe kama unaona utaki kile anachokifanya mwenzio kaa kimya endelea na yako yanayokuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…