Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Feb 4, 2012 #21 Ndokeji said: mwaka huu nimepanga kuingia kwenye ndoa,je kunafaida zipi? Click to expand... Kama hujui faida za ndoa basi inaelekea wewe haupo tayari kuingia katika ndoa. Embu nenda kajipange upya halafu urudi tena
Ndokeji said: mwaka huu nimepanga kuingia kwenye ndoa,je kunafaida zipi? Click to expand... Kama hujui faida za ndoa basi inaelekea wewe haupo tayari kuingia katika ndoa. Embu nenda kajipange upya halafu urudi tena
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,679 Reaction score 11,813 Dec 27, 2017 #22 Ndokeji said: mwaka huu nimepanga kuingia kwenye ndoa,je kunafaida zipi? Click to expand... Ukilazimishwa issue... Ila ukipendwa utapewa VYOOTTEE..
Ndokeji said: mwaka huu nimepanga kuingia kwenye ndoa,je kunafaida zipi? Click to expand... Ukilazimishwa issue... Ila ukipendwa utapewa VYOOTTEE..
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,274 Reaction score 6,589 Dec 27, 2017 #23 Ndokeji said: nimelazimishwa na ndugu zangu lazima mwaka huu nioe nisije nikazeeka bila mtoto Click to expand... Mwanaume unalazimishwa?. Huna msimamo kama mwanaume jitambue.
Ndokeji said: nimelazimishwa na ndugu zangu lazima mwaka huu nioe nisije nikazeeka bila mtoto Click to expand... Mwanaume unalazimishwa?. Huna msimamo kama mwanaume jitambue.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Dec 28, 2017 #24 jebs2002 said: Ukilazimishwa issue... View attachment 661060 Ila ukipendwa utapewa VYOOTTEE.. View attachment 661061 Click to expand... Duh
jebs2002 said: Ukilazimishwa issue... View attachment 661060 Ila ukipendwa utapewa VYOOTTEE.. View attachment 661061 Click to expand... Duh
Marcel_10 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 396 Reaction score 171 Dec 28, 2017 #25 Daaah ahsante kwa kunifurahisha...