Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,421
- 4,062
Huna unachokifahamu mkuu, waliomba kikao na Rais na walikutana Ikulu jana saa kumi, kikao hicho ndio ilikuwa sababu kubwa ya wao kwenda na hilo ndo linalozungumziwa hapa na huyo mzee.
Leta ushahidi wa kikao hicho Cha Ikulu, mkuu, acha maneno ya vijiweni.Huna unachokifahamu mkuu, waliomba kikao na Rais na walikutana Ikulu jana saa kumi, kikao hicho ndio ilikuwa sababu kubwa ya wao kwenda na hilo ndo linalozungumziwa hapa na huyo mzee.
Wewe ni master of upumbavu. Mkubwa mzima unakaa kuandika andika mambo ya kitoto ukidhani unachekesha. Watu washakuchoka.ukue sasa pumbavufull.
Hili nililihisi siku za nyuma na hii ni sababu ya uandishi wake wa mipasho.Mbona genta anajulikana wazi tu?nenda kinondoni watakwambia.
Uwezo huo anao tena sana! Kama hujui hilo wewe siyo mtanzania. Niambie ni kitu gani katika nchi hii ambacho kinagusa mihimili ya dola ambacho mzee hakiwezi? Akiamuru wewe upotee usionekane kabisa itakuwa hivyo.Tumeaminishwa kuwa Mahakama ziko Huru kabisa. Hata wakimpigia huyo anayeitwa Baba magoti itasaidia nini?. Ana uwezo wa kupindua Hukumu?
Hakuna fumbo hapoNadhani huyo mzee alikuwa anabashiri tu! Kama ingekuwa kwamba wanaogopa kuozea jela,huenda wengi wao wangekuwa wameshajiunga na CCM kuunga juhudi kama akina Waitara! Maana ukishaunga juhudi hata kama ulikuwa na kesi ya mauaji inafutwa.
Imemkalia nani vibaya? Kwani viongizi wa upinzani wanahusikaje?Kesi ya Akwilina imekaa vibaya lile ni jipu la pembeni ya tundu la haja kubwa!!!Lazima jamaa anyanyue mikono!!!