Mliofanya Interview Zimamoto ilikua fair au?

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
kwa wale wenye degree waliofanya interview zimamoto vp ilikua fair au? Majibu ya watakaofanya oral yametoka au?
 
interview ilikua fair ambao hawakukimbia chemistry!!!
 
interview ilikua moja,oral interview tu!! watakaopita wamepita
 
interview ilikua moja,oral interview tu!! watakaopita wamepita

mbona kama mlikua wengi sana waliwafanyia wote kweli au hawaulizi maswali mengi?
 
Mi nilipigwa maswali 11 tu but yote yanajibika kama umejiandaa vzr! cha muhimu kujiamini na kujibu kwa ufasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…