fatma kimambo
Member
- Sep 2, 2016
- 42
- 16
Mliochagua Kampala university Majina yametoka.
Aisee kumbe na wewe mdau wa uefa?? Pale ijumaa kuna malaya kichizi , zamani ilikuwa Shemshizi night clubKaribuni sana goms .Mitaa yetu ya kujidai ni UEFA,SAVANNA,pia kuna PARIS .Mombasa, madafu mwisho wa lami,relini kule karibu na juhudi sec.Team za mpira tunazo za kutosha tu kama Gongo la mboto United,Mti pesa FC .Wasanii wa tamaduni musics watakuwepo kina stereo na nikki.Karibuni nyumbani Goms.Nikitoka UDOM nitakuja kuwatembelea ..
Hii ndo elimu ya JPMAisee kumbe na wewe mdau wa uefa?? Pale ijumaa kuna malaya kichizi , zamani ilikuwa Shemsh
NDIOHii ndo elimu ya JPM
Sasa kwani uongo ,kama kuna malaya nisiseme??Hii ndo elimu ya JPM
Kwa mkoremba in da buildingKaribuni sana goms .Mitaa yetu ya kujidai ni UEFA,SAVANNA,pia kuna PARIS .Mombasa, madafu mwisho wa lami,relini kule karibu na juhudi sec.Team za mpira tunazo za kutosha tu kama Gongo la mboto United,Mti pesa FC .Wasanii wa tamaduni musics watakuwepo kina stereo na nikki.Karibuni nyumbani Goms.Nikitoka UDOM nitakuja kuwatembelea ..
Kazi kweli kweli mkuuHii ndo elimu ya JPM
Na kuna watu ambao wameendelea kuomba kwenye hko chuo, mbona hii ni shida sasaIvi hiyo Kampala hakijafungiwa tu?
pale ni nouma mkuu ,kuna mmoja hivi wakuitwa queen anabalaa yuleAisee kumbe na wewe mdau wa uefa?? Pale ijumaa kuna malaya kichizi , zamani ilikuwa Shemshizi night club
Unamsemea yupi?? Au ndo yule duu fulani hivi white alafu havaagi chupi??pale ni nouma mkuu ,kuna mmoja hivi wakuitwa queen anabalaa yule
Mule kuna hatari sasa J pili nayo wanawake wanaingia bure alafu sisi mashababi 5pale ni nouma mkuu ,kuna mmoja hivi wakuitwa queen anabalaa yule
Utapenda cku akisimamia show H mzazi au dj manywele yaani malaya ndio wanapagawa kabisa yaani daahpale ni nouma mkuu ,kuna mmoja hivi wakuitwa queen anabalaa yule
kifungiwe kwa sababu gani wakat kipo poaIvi hiyo Kampala hakijafungiwa tu?
Uefa iko wapi?Aisee kumbe na wewe mdau wa uefa?? Pale ijumaa kuna malaya kichizi , zamani ilikuwa Shemshizi night club
Uefa ipo mombasa , panda magari ya gongo la mboto then shuka mombasa ukifika mombasa ulizia utaoneshwa si mbali kutoka mombasa ni umbali wa dakika 3 kwa mwendo wa miguuUefa iko wapi?