Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Nilishasema UKAWA haina dira wala mwelekeo. Wengi walikwenda kwa kumtegemea Mtu na Siyo Taasisi.
Mtu aliposhindwa sasa wanarudi. Wengine moja kwa moja wengine kwa kujichelewesha ili kufuta aibu! Mliobaki huko karibuni tu CCM.
Tutawapokea tu maana ndio tuliowalea muda wote huu. Huko Vyeo mlivyoahidiwa hakuna tena.
Njooni tumsaidie Rais wetu kuijenga Tanzania Mpya badala ya kupoteza muda kwenye longo longo za Upinzani!