Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,904
Sheria ifuate mkondo bila kupepesa,majambazi/wauza madawa/wahamiaji haramu, wengi wamejificha katika kivuli cha dini...hii haikubaliki.
Wale walio beba fedha za escrow kwa kutumia magunia, na wale wa epa, mbona sheria haitumiki kuwashitaki?
mnaonea wanasiasa na watumishi wa Mungu, naamini kanuni iliyo tumika Nigeria Octoba mwaka huu mjiandae
wewe ni mfuasi wake, kwanini usiache ifike mwisho ili kama anaonewa awashitaki, kama haonewi apate haki yake, yeyote anaesema kesi ifutwe hapendi utawala wa sheria na haki, sisi wote kwenye shiria ni sawaMimi si mfuasi wa huyu jamaa,lakini kwa hili ni matumizi mabovu ya Rasmali tulizo nazo.
...........Kova kama anapita pita humu naomba hyo kesi muitoe,ila mjiandae mtakaposhindwa kufunguliwa kesi ya madai,madai hayo yatalipwa na kwa kodi za wananchi.
Kama ZOmbe alishinda kesi dhidi ya tuhuma za mauaji.SiDhani kama kesi hiii POlisi watashinda,wanasheria wanajua hamna kesi hapo.
View attachment 246395Hakuna mtu aliye juu ya sheria, sheria ichukuwe mkondo wake
View attachment 246398Tunesha hao ni akina nani. Au unakiherehere tu?
Hujaona waliokula fedha ya Ruge? mpaka maaskofu ndani? au hilo hulijuwi?
EPA watu wanatumikia kifungo, hulijuwi hilo?