Jamaa mmoja alienda kutoa fedha ATM usiku ila kwa bahati mbaya kadi yake ikamezwa na hela hakupata; akaamua kumuambia mlinzi ili amsaidie
Jamaa: sorry bro, nilikosea PIN kadi yangu imezuiliwa; nifanyeje?
Mlinzi: hiyo haina tatizo sana, ingiza kadi nyingine!