Noncommited
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,125
- 369
KUSHINDWA KUTOFAUTISHA MAJUKUMU YA KATIBU MKUU NA WASIFU BINAFSI WA DR.SLAA
Nimeona nilongelea hili jambo leo. Watu wengi kwenye social network na mitaani wakiwemo baadhi ya wanachadema na wasiokuwa wanachadema wanahoji uwezo wa Dr. Vicent Mashinji kwenye nafasi ya Katibu Mkuu huku wengi wao wakiwa hawazijui kazi za Katibu Mkuu wa CHADEMA kikatiba ni zipi.
Wengi wanafeli kwa kufananisha wasifu binafsi wa DR.Slaa na DR. Vicent Mashinji na si majukumu ya UKatibu Mkuu wa CHADEMA.
Toleo lijalo nitaorodhesha majukumu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA tupime kama ameshindwa au amefanikiwa kwa kiasi gani. Kwa kuwasaidia wale wenye vichwa vigumu nitatoa sifa au kazi alizozifanya binafsi Dr.Slaa ikiwa sio majukumu ya Katibu Mkuu.
Karibuni kwa mjadala.