View attachment 251242View attachment 251243
Mlinda mlango mkongwe Aldina Hashimu ambaye amechezea AFC Arusha,Mtibwa,Mount Meru Warriors na Nyota ya Arusha akipata kibano baada ya kufumaniwa akila vyombo vya mke wa aliyewahi kuwa beki wa kulia Emmanuel Mwambinje huko Guest Kasoli makao mapya
Aibu hii ya kumla mke wa mchezaji mwenzake na beki wa kulia imemletelezea kula kichapo cha haja na kupata
Sijui huwa inakujae yaani ukifumaniwa hata kama ni Baunsa kiasi gani, huwezi rusha ngumi hata moja na ukijilegeza zaidi jamaa wanaweza kukunanihiii!!! Dah, Mke wa mtu sometimes ni Sumu
Hivi hawa wake za watu siku hizi wana matatizo gani mbona wanatoka nje ya ndoa zao kirahisi sana?
Mbona kama wanamvua nguo....wanataka wamfanyaje..