Mlimbwende kutoka Kenya aingia matatani katika mashindano ya Miss Universe

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Muwakilishi kutoka Kenya katika mashindano ya Miss Universe amejikuta akiingia matatani baada ya kujibu swali kuhusu rais wa Marekani, Donald Trump ambapo alisema kuwa si chaguo la watu.

Mlimwende Mary Esther Were(27) amenukuliwa akisema kuwa wamarekani wengi walipenda kuongozwa na Bi. Hillary Clinton hatua iliyozua zomea zomea kutoka kwa wahudhuriaji wa mashindano hayo Jijini Manila Ufilipino.
======
Kenya's representative in the 2017 Miss Universe competition found herself in the middle of the divisive American politics by saying President Donald Trump was not the voters' first choice in response to a question about Mr Trump's first week in office.

Mary Esther Were, 27, said many Americans preferred Hillary Clinton inviting jeers from the audience in Manila, Philippines.

She ended her answer by saying that Mr Trump had unified the country angering many more who had been protesting against Mr Trump's travel ban which targets people from seven mainly Muslim countries - three of them in Africa.

Others on Twitter said that she had been given the most difficult question:

bg.png

Mr Trump was the co-owner of the Miss Universe pageant before selling it in 2015.

Miss France was crowned the 2017 winner.
 
Mama mkanye mwanaooo saivi ni utawala wa trump you Kenyans please obummer is no longer president! Acheni blah blah mambo ya kijaluo acheni kenya huyo Steve aliyemuhoji alikuwa juzi kwa trump unategemea uchomoke hapo? Poleni watani
 
Back
Top Bottom