KERO Mlimani mpaka Mwenge kuna foleni balaa

KERO Mlimani mpaka Mwenge kuna foleni balaa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,126
Reaction score
24,424
Hii foleni ya leo usipime

Kwa mnaotokea njia ya Goba Makongo hadi Mlimani city

Na pia mnaotokea Ubungo hadi Mwenge

Foleni ni kubwa sana na haisogei

Kama una uharaka panda pikipiki

Kama una gari usipite hizi njia kabisa

Hii ya leo ni balaa
 
Hii foleni ya leo usipime

Kwa mnaotokea njia ya Goba Makongo hadi mlimani city

Na pia mnaotokea Ubungo hadi mwenge

Foleni ni kubwa sana na haisogei

Kama una uharaka panda pikipiki

Kama una gari usipite hizi njia kabisa

Hii ya leo ni balaa
Asante kwa taarifa wacha nikitulize kwanza.
 
Watu wa Dar mnadeka sana aisee, Sasa foleni ni kitu cha kuanzisha mada? N mwaka wa ngapi huu Dar kuna foleni, au ya leo foleni imeanzia wiki iliyopita mpaka leo?
Acha ukorofi. Wengine imetusaidia hiyo taarifa.
 
Nilikuwa na mpango wa Kwenda tegeta mda huu now Nina postponed
 
Back
Top Bottom