Mlidhani mnamkomoa mtu kumbe mnajikomoa wenyewe!

ugumu wa maisha ndo kipimo cha akili, " mahitaji ya kila siku unayoyapata yanalingana na uwezo wako wa akili ulionao"
 
Unajua sio lazma uwandke post kama huna la maana mtu kuandika unaweza ukanyamaza na siku ukapata ya muhm ukandika na utashangaa utapata watu weng mno JF sio wapumbavu
 
ungewaona wakazi wa chamwino, dodoma ungewaonea huruma.., yani wanakunywa maji wanayotumia mifugo na cha kushangaza wanapakana na ikulu ya rais... wenyewe wanakwambi 'heigule ccm'
 
Back
Top Bottom