Mlevi na Ubatizo

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
404
Reaction score
260
Habari ya asubuhi Jf members
Mlevi mmoja alibatizwa kwa ubatizo wa maji mengi,akazamishwa kwenye maji na kuibuliwa mchungaji akamwambia kuanzia sasa hautaitwa NSURI utaitwa SURI umezaliwa upya hivyo wewe ni kiumbe kipya.Alipofika nyumbani kwake akachukua bia akaizamisha kwenye ndoo yya maji kisha akaiambia, kuanzia sasa wewe sio TUSKER wewe ni FANTA!Akainywa
 
Ahahaha! anaweza akam'batiza na kimada wake akamwambia 'kuanzia leo wewe ni WAIFU'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…