Mlevi na Bikini

Zatara

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
716
Reaction score
511
Mlevi alirudi home na kumkuta mkewe akiwa katika bikini moja matata

Kinyume na mategemeo ya mke aliyekusudia kuamsha usiku wa malove-davi, mlevi akacheka mpaka mke akashangaa

Mke: mume wangu kinachokuchekesha ni nini?
Mlevi: unajua mke wangu toka nizaliwe sijawahi ona t'ako limevishwa kandambili
 

Kweli mlevi akili huwa inapungua akiwa amelewa !!
 
ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaa!
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani kweli kuna vituko, sijui mke unajiskiaje apo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…