Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 577
- 1,381
Warusi wamefikia 80k mpaka sasa lakini kwa mujibu wa SPUTINIK na RT bado wanaripoti Special Op ni watu wao 3k tu waliofariki
Na malengo yatafikiwa, Urusi inasubiria muujiza wa 1942-43 ambapo baridi litabadilisha upepo wa vita( wanasahau wanaopambana nao pia sio wa magharibi pia na wamashariki wenzao)