Mlele-Katavi; Tamisemi yatelekeza majengo ya Hospitali ya yaliyogharimu Bilioni 1.8 kwa miaka 5 Bila kukamilika wala kutumika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,813
Kamatia ya Bunge ya Serikali za Mitaa imeelezwa kusikitika kwake na Kitendo Cha Tamisemi na Mkoa wa Katavi kutelekeza majengo ya Hospital ya Wilaya Kwa miaka 5 bila Kukamilika Wala Kutumika licha ya Kutafuna Bilioni 1.8.

My Take

Nyie Kamatia sijui Mko Nchi gani,Kuna wilaya nyingi tuu Zina majengo yametelekezwa na hayafanyi kazi ila Serikali Huwa inajigamba kwamba imejengwa hospital kadhaa wakati ukweli ni kwamba hakuna Huduma zinatolewa.

Huko kwenye Vituo vya Afya ndio kabisaa na vile vingi vimejengwa Vijijini hakuna kinachoendelea majengo yanaoza.

Plans without vision and mission, ndio viongozi wa Tanzania hao
Ila huu ni utoto Kwa sababu unakuta wameweka Bajeti Fulani ikikata Huwa wanaacha hivyo hivyo Sasa sijui Huwa ndio manake nini..

Majengo mengi sana Yana Hali hii
 
Ila huu ni utoto Kwa sababu unakuta wameweka Bajeti Fulani ikikata Huwa wanaacha hivyo hivyo Sasa sijui Huwa ndio manake nini..

Majengo mengi sana Yana Hali hii

Na hapo ndio hua hasara zinaanzia, kwanza mfumo wetu wa bajeti hauko vizuri kusukuma maendeleo yetu, maana mfumo wenyewe haujitoshelezi kabisa wala kujisimamia, nadhani ni afadhali bajeti iwe ndogo na itekelezeke kuliko hivi sasa bajeti inakwenda 30% au 40% na asilimia 60% haifiki kabisa ni mbaya sana
 
Tatizo sio Bajeti tuu Bali Kuna mambo 2 Huwa yanasababisha..

Mosi Serikali hutenga pesa inayofanana maeneo yote Sasa ikitokea kufeli Huwa hakuna pesa nyingine inaletwa majengo yanaoza.

Sasa huwa sielewi wanaofanya Makisio Huwa wanatumia mazingira ya Dar au vipi..

Pili shida nyingine ni kwamba Huwa Kuna wizi au kuhamisha matumizi ya pesa na ikifanyika hivyo wao serikali Huwa wanajua tulishamalizana na section ya ujenzi so majengo kumbe hayajakamilika..

Ukisoma.hayo maelezo hapo Juu utakuta karibu mil.40 za mradi zilitumika kwingine ambako hakuna maelezo.
 
Back
Top Bottom