deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu, kwa wale wasioweza kuishi bila Kickass torrent site najua mna taarifa ya kuwa imefungwa.
Hii ndio link ya kuipata kimya kimya: Download Torrents. Fast and Free Torrent Downloads - KickassTorrents
Inapatikana mkuu,jaribu tena.Mimi nimetokaa kuifungua sasa hivikaka mbona mi siipati kickass.to toka jana? haijafungwa kweli?
thepiratebay imesharudi hewani
Kickass.to nikiifungua kwa Mozilla inagoma ila kwa chrome iko sawa....shida nn hapo wakuu???
wakuu kwa kutumia opera or mozilla ni shida. ila pia kuna site kama extra torrent. cc na torlock.com zote ziko poa kama torrent tu
kaka mbona mi siipati kickass.to toka jana? haijafungwa kweli?